#Local News

RAIS WILLIAM RUTO APIGIWA DEBE UKAMBANI

Siasa za kumpigia debe Rais William Ruto zimeendelea kushika kasi katika eneo la Ukambani huku viongozi wanaounga mkono serikali wakiongeza juhudi za kuimarisha uungwaji mkono wa utawala wa Kenya Kwanza.

Viongozi hao wamekuwa wakifanya mikutano ya hadhara na kushirikiana na wananchi katika maeneo mbalimbali ya Ukambani wakisisitiza kuwa serikali inaendelea kutekeleza miradi ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa miundombinu, huduma za afya na kuboresha sekta ya kilimo.

Imetayarishwa na Jesca Angeyo

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *