#Local News

WATU WATATU WAKAMATWA KWA MADAI YA UBADHIRIFU WA SH 4.8M

Watu watatu wamekamatwa kuhusiana na madai ya ubadhirifu wa Sh4.8 milioni zilizokuwa zimetengwa kwa ununuzi wa transfoma za umeme katika Eneo Bunge la Igembe North Kaunti ya Meru.

Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi EACC imesema watuhumiwa hao wamekamatwa baada ya uchunguzi kufanywa

watuhumiwa hao wanatarajiwa kufikishwa katika Mahakama ya Meru kujibu mashtaka ya ufisadi dhidi.

Imetayarishwa na Jesca Angeyo

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *