#Football #Sports

TUSKER WAAGA KAGAME CUP MAPEMA

Tusker  wameondolewa kwenye mashindano ya CECAFA Kagame Cup baada ya kufungwa bao 1-0 na wenyeji Rayon Sports mjini Kigali, Rwanda, na kupoteza nafasi ya kutinga hatua ya mtoano wakiwa bado na mchezo mmoja mkononi

Kipigo hicho kilifuatia kichapo cha mabao 2-0 dhidi ya Al-Hilal katika mchezo wa ufunguzi wa Kundi C, na hivyo kuhitimisha matumaini ya Tusker kusonga mbele kwenye mashindano hayo

Kocha Julien Mette alifanya mabadiliko sita katika kikosi chake baada ya mchezo wa kwanza, lakini juhudi hizo hazikutosha kuzuia kuondolewa kwa timu hiyo.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *