#Local News

SERIKALI NAROK YARAHISISHA USAFIRI WA MAAFISA

Katika juhudi za kuimarisha utendakazi wa wasimamizi wa wadi na kuboresha Maisha ya wakazi katika kaunti ya Narok, serikali ya kaunti hiyo imewanunulia wasimamizi hao pikipiki ili watumie wanapokuwa katika utekelezaji wa majukumu yao.

Akizungumza wakati wa zeozi la kuwapokeza pikipiki hizo, gavana wa Narok Patrick Ole Ntutu amesema kuwa usafiri umekuwa kikwazo kikubwa kwa maafisa hao wanapotaka kufika kila eneo kufuatilia miradi ya serikali.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

SERIKALI NAROK YARAHISISHA USAFIRI WA MAAFISA

MASAIBU YA MOI HAYAISHI LEO- WAHADHIRI

SERIKALI NAROK YARAHISISHA USAFIRI WA MAAFISA

PPB YAENDESHA ‘MSAKO WA AFYA BORA’

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *