#Local News

POLISI WAMEMKAMATA MSHUKIWA MWINGINE KUHUSIANA NA VURUGU KWA MKUTANO WA UDA EMBU

Polisi wamekamata mshukiwa mwingine kuhusiana na vurugu za Jumamosi, Septemba 12, katika mkutano wa wajumbe wa UDA mjini Embu, ambapo watu walipoteza maisha.

Mshukiwa huyo ambaye jina lake halijatajwa, alikamatwa jana katika eneo la Kithimu, Embu, na maafisa wa DCI kutoka timu ya OAT na CRIB.

Kukamatwa kwake kunafanya idadi ya washukiwa waliokamatwa kufikia watatu. Washukiwa wengine wawili walikamatwa Jumamosi baada ya vurugu hizo kuzuka.

Imetayarishwa na Jesca Angeyo

POLISI WAMEMKAMATA MSHUKIWA MWINGINE KUHUSIANA NA VURUGU KWA MKUTANO WA UDA EMBU

LEEDS YAICHAPA NEWCASTLE 4-1

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *