#Local News

MUTAMBU: UCHAGUZI MKUU UNAPASWA KUFANYIKA LEO

Aliyekuwa Mbunge wa Mwingi ya Kati Joe Mutambu ameunga mkono uamuzi wa Jaji Mugure Thande kuhusu muda wa kufanyika kwa uchaguzi mkuu, akisema umezingatia matakwa ya Katiba.

Katika uamuzi huo wa kihistoria, Jaji Thande alisema mwaka wa tano kufuatia uchaguzi wa urais wa Agosti 9, 2022, ulianza Agosti 9, 2026, hivyo uchaguzi unaofuata wa urais unapaswa kufanyika ndani ya mwaka huo wa tano kwa mujibu wa Katiba.

Mutambu amesema kwa msingi huo, Agosti 11, 2026 ndiyo siku inayofaa kwa uchaguzi kufanyika, akisisitiza kuwa uamuzi wa Jaji Thande ulikuwa sahihi kikatiba.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

MUTAMBU: UCHAGUZI MKUU UNAPASWA KUFANYIKA LEO

RUTO ATETEA UCHUMI WA NCHI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *