#Local News

KINDIKI: TUTAENDELEA NA MAENDELEO, SIASA HAZITUTATATIZA

Naibu Rais Kithure Kindiki amesema ataendelea kulenga utekelezaji wa miradi ya maendeleo na kupuuza mashambulizi pamoja na kauli za kisiasa kutoka kwa wapinzani wake.

Kindiki amesema kipaumbele chake ni kumuunga mkono Rais William Ruto kukamilisha miradi inayoendelea na kuanzisha mingine katika maeneo mbalimbali ya nchi, akisema wananchi wanahitaji maendeleo yanayoonekana.

Amesema kaulimbiu za kisiasa hazitakengeusha serikali kutoka katika ajenda yake ya maendeleo, huku akisisitiza kuwa juhudi zitaendelea kuelekezwa katika miradi yenye manufaa kwa wananchi.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

KINDIKI: TUTAENDELEA NA MAENDELEO, SIASA HAZITUTATATIZA

TANKI LA MAFUTA LALIPUKA ELDORET

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *