#Local News

WAATHIRIWA WA BOMU 1998 WAPATA PIGO KORTINI

Inasubiriwa kuona iwapo waathiriwa wa mlipuko wa bomu mwaka wa 1998 jijini Nairobi watawasilisha kesi katika mahakama ya rufaa au la, baada ya mahakama kuu kutupilia mbali kesi yao ya kutaka wapewe fidia na hivyo kusitisha kesi ya kusaka haki kwa zaidi ya miaka 25.

Katika uamuzi wake, jaji Lawrence Mugambi amesema walalamishi walishindwa kuthibitisha kwamba serikali ilikuwa na taarifa za kijasusi ambazo zingeiwezesha kuzuia shambulizi hilo la kigaidi.

Waathiriwa wametaja uamuzi huo kuwa ukiukaji wa haki.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

WAATHIRIWA WA BOMU 1998 WAPATA PIGO KORTINI

DUALE: SIWEZI KUJIUZULU!

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *