#Local News

GACHAGUA ADAI RUTO ANATAKA KUTOA MADINI YA NIOBIUM KWA KAMPUNI ZA KIGENI

Kiongozi wa Chama cha DCP Rigathi Gachagua amedai kuwa Rais William Ruto anapanga kutoa madini ya niobium yenye thamani ya matrilioni ya shilingi katika Milima ya Mrima Kaunti ya Kwale kwa kampuni ya kigeni

Gachagua amesema akiba hiyo ya madini imetengewa kampuni za kigeni huku wakazi wa eneo hilo wakiendelea kukabiliwa na umaskini, akiwataka wananchi kuwa waangalifu na kufuatilia kwa karibu matumizi ya rasilimali za taifa

Gachagua pia ameangazia kura za mwaka ujao, akiwahakikishia Wakenya walioko marekani kujitolea kwa umoja wa upinzani.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

GACHAGUA ADAI RUTO ANATAKA KUTOA MADINI YA NIOBIUM KWA KAMPUNI ZA KIGENI

WADAU WA MAFUNZO YA UFUNDI WA KENYA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *