KINDIKI AHIMIZA ADABU MIONGONI MWA VIONGOZI
Viongozi nchini wamehimizwa kuhubiriwa mshikamano na kujiepusha na semi zinazoweza kuwachochea wananchi au kupotosha maadili ya taifa.
Akizungumza mjini Meru baada ya ukaguzi wa ujenzi unaoendelea wa hospitali ya level 6, naibu Rais Kithure Kindiki amesema ana imani kwamba atamkabili kisiasa mtangulizi wake Rigathi Gachagua hasa kuhusiana na mwelekeo wa eneo la Mlima Kenya kisiasa.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 






















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































