#Local News

AZIMIO YAONGEZA JUHUDI ZA KUUNDA MUUNGANO MPANA WA UPINZANI

Harakati za kuunda muungano mkubwa wa upinzani zimeanza kushika kasi huku viongozi wakianza mazungumzo ya kuwaunganisha vinara mbalimbali kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2027.

Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya umeanza mazungumzo ya kuwashawishi Rigathi Gachagua, Martha Karua na Edwin Sifuna kujiunga na muungano mpya wa upinzani.

Kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka amesema muungano huo unalenga kuunganisha maeneo ya Mlima Kenya, Nairobi na Magharibi ili kuimarisha upinzani katika uchaguzi mkuu ujao.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *