#Local News

UBABE WA UONGOZI WAENDELEA MACHAKOS

Ubabe kuhusu uongozi katika bunge la kaunti ya Machakos umechukua mkondo tofauti baada ya spika wa bunge hilo Anne Kiusya kuelekea katika mahakama kuu kupinga uamuzi wa kuwaruhusu wawakilishi 9 waliofurushwa kurejea bungeni humo.

Kulingana na Kiusya, 9 hao waliopigwa marufuku ya kuhudhuria vikao 28 vya bunge hilo wameipotosha mahakama ili waruhusiwe kurejea kabla ya kukamilisha marufuku dhidi yao.

Miongoni mwa 9 hao ni kiongozi wa walio wengi Nicholas Nzioka na naibu spika Stephen Nzue.

Imetayrishwa na Antony Nyongesa

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *