#Local News

MBUNGE WA KISUMU MAGHARIBI ROSA BUYU AMEUNGA MKONO MISWADA INAYOLENGA KUPUNGUZA GHARAMA ZA ELIMU

Mbunge wa Kisumu Magharibi, ROSA Buyu, ameunga mkono miswada ya elimu inayolenga kupunguza mzigo wa gharama za elimu kwa familia nchini Kenya.

Buyu amesema hatua hizo zitasaidia kupunguza shinikizo la kifedha kwa wazazi na walezi wanaokabiliwa na gharama kubwa za elimu.

Ametaka miswada hiyo izingatie mahitaji ya wanafunzi na kuhakikisha watoto wanapata fursa sawa ya elimu.

Imetayarishwa na Jesca Angeyo

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *