#Local News

ACHA KUINGIZA SIASA AU UJIUZULU’ MALALA AAMBIA WAZIRI KURIA, MURKOMEN HUKU AKIMWONYA SUDI

Katibu Mkuu wa chama cha United Democratic Alliance (UDA) Cleophas Malala ametoa tahadhari kwa baadhi ya viongozi mashuhuri wa chama hicho kwa kile amekitaja kuwa ni dharau kwa uongozi wa chama

 Aliporejea kutoka taifa la Uchina pamoja na wajumbe wa UDA Malala amebaini kuwa anafahamu kuongezeka kwa tabia ya utovu wa nidhamu ndani ya chama ambayo imeelekezwa kwa Rais William Ruto

 Malala amepeana mfano wa jumbe zilizotolewa na wabunge Gathoni Wa Muchomba ambaye ni mbunge wa Githunguri, Mbunge wa Kapseret Oscar Sudi na Gavana wa Nyeri Mutahi Kahiga

Imetayarishwa na Janice Marete

ACHA KUINGIZA SIASA AU UJIUZULU’ MALALA AAMBIA WAZIRI KURIA, MURKOMEN HUKU AKIMWONYA SUDI

NYORO: LISHE SHULENI INGALIPO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *