MGOMBEA WA FKF TOM ALILA AITAKA BODI YA UCHAGUZI KUWEKA MAMBO WAZI KWA AJILI YA UCHAGUZI HURU
Mgombea wa urais FKF Tom Alila ameitaka bodi ya uchaguzi kuweka mambo kuwa sawa ili kuepuka mizozo ya uchaguzi
Kulingana na Alila kuan daa bodi ya uchaguzi katika kandanda ambako kfk ina uthabiti kamili hakuhakikishii uchaguzi huru na wa haki
Anataka pia bodi huru ya rufaa kuundwa ili kuhakikisha rufdaa zinashuh=ghulkikiwa kwa uwazi
Alila ambaye anadaiwa kuwasilisha kesi mahakamani kwa shirikisho hilo ni miongoni mwa wagombea ambao wameonyesha kutorithishwa na bodi hiyo kabla ya uchaguzi wa decemba tarehe 7
Imetayarishwa na Janice Marete
English 































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































