#Local News

KINDIKI ATANGAZA MVUA ZA EL NINO KUWA SUALA LA USALAMA WA TAIFA

Naibu Rais Kithure Kindiki ametangaza kuwa mvua za El Nino zinazotabiriwa ni suala la usalama wa taifa na kuwataka wananchi kuzingatia kikamilifu maagizo ya usalama.

Akizungumza katika mkutano wa ngazi ya juu na maafisa wa serikali wanaohusika na maandalizi ya mvua hizo, Kindiki amewataka maafisa wa usalama na wasimamizi wa maeneo kutekeleza kwa uthabiti hatua zote za tahadhari.

Amesema hatua hizo zinalenga kuokoa maisha ya wananchi na kulinda mali wakati wa mvua hizo zinazotarajiwa.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

KINDIKI ATANGAZA MVUA ZA EL NINO KUWA SUALA LA USALAMA WA TAIFA

KINDIKI ATANGAZA MVUA ZA EL NINO KUWA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *