#Local News

SERIKALI YAKOSOA UPINZANI KWA ‘UKABILA’

Viongozi wakuu serikalini wakiongozwa na naibu rais Kithure Kindiki wameendelea kuwashutumu wenzao wa upinzani kwa madai ya kuendeleza siasa za chuki na migawanyiko.

Akizungumza katika kaunti za Garissa na Wajira, Kindiki ametetea hatua ya serikali kupunguza masharti kwa wakazi wa maeneo ya mpakani kupata vitambulisho vya kitaifa, akiwataja wanaokosoa hatua hiyo kuwa wakabila.

Kauli yake imesisitizwa na maspika Moses Wetang’ula wa bunge la kitaifa na mwenzake wa seneti Amason Kingi.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

SERIKALI YAKOSOA UPINZANI KWA ‘UKABILA’

JOBO WAPIGWA CHOBO NA MUSINGU

SERIKALI YAKOSOA UPINZANI KWA ‘UKABILA’

POLISI WAIMARISHA MSAKO TRANS NZOIA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *