#Local News

KURIA AKUTANA NA RAILA, AMSIFIA

Aliyekuwa Waziri wa utumishi wa umma Moses Kuria amempongeza kinara wa ODM Raila Odinga kwa kukubali kuwa sehemu ya serikali ya umoja wa kitaifa mbali na kuwahimiza wakenya wakumbatie mazungumzo.

Kupitia taarifa katika mtandao wa kijamii wa X baada ya mkutano na Raila katika jumba la Capitol Hill, Kuria amempongeza kiongozi huyo kwa kile alichokitaja kama kujitahidi, mara tena, kuliokoa taifa dhidi ya kuangamia.

Aidha, Kuria amesema kwamba mazungumzo yaliyoratibiwa yataishia kwenye kupata suluhu la kudumu.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

KURIA AKUTANA NA RAILA, AMSIFIA

CHPS ISIOLO WAONYA KUHUSU MGOMO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *