KENYA KWANZA NA ODM WAENDELEZA KAMPENI ZA KUMUUNGA MKONO RUTO 2027
Viongozi wa Kenya Kwanza na ODM wameongeza kampeni za kumtafutia Rais William Ruto uungwaji mkono wa kuchaguliwa tena kwa muhula mwingine katika uchaguzi wa 2027.
Viongozi hao walizungumza katika kaunti za Bungoma, Malava, Garissa na Isiolo,Huku wakihamasisha wananchi kuunga mkono azma ya Ruto kuendelea kuongoza nchi.
Aidha, waliukosoa upinzani wakidai viongozi wake hawana uwezo wa kuiongoza Kenya.
Imetayarishwa na Cyrus Sifuna
English 


















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































