#Local News

UPINZANI WATAKA IEBC ICHAPISHE ORODHA YA WAPIGA KURA WAPYA

Viongozi wa upinzani wameitaka IEBC kuchapisha sajili ya wapiga kura wapya, wakidai huenda raia wasio Wakenya walisajiliwa kabla ya uchaguzi mkuu wa 2027.

Wakizungumza katika kaunti ya Kiambu, Kiongozi wa Chama cha DAP K Eugene Wamalwa na Katibu mkuu wa chama cha DCP John Methu wameisuta Idara ya Usajili wa Watu kwa kutoa vitambulisho vya kitaifa kwa upendeleo.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

UPINZANI WATAKA IEBC ICHAPISHE ORODHA YA WAPIGA KURA WAPYA

EQUITY HAWKS YACHAPWA NA APR 91-56

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *