#Local News

MAGAVANA WOTE 47 WAMEKUTANA NAIROBI KUMCHAGUA KIONGOZI MPYA WA BARAZA LA MAGAVANA

Magavana wa kaunti zote 47 nchini wamekutana jijini Nairobi kumchagua uongozi mpya wa Baraza la Magavana (Council of Governors), katika uchaguzi unaolenga kujaza nafasi za uongozi wa baraza hilo.

Mkutano huo unawakutanisha magavana kujadili na kufanya maamuzi kuhusu viongozi watakaosimamia shughuli za baraza hilo, ambalo huwakilisha serikali za kaunti na kuratibu masuala yanayohusu ugatuzi.

Uongozi mpya unatarajiwa kuendeleza ushirikiano kati ya serikali za kaunti na serikali ya kitaifa, pamoja na kushughulikia changamoto zinazokabili utekelezaji wa majukumu ya ugatuzi nchini.

Imetayarishwa na Jesca Angeyo

MAGAVANA WOTE 47 WAMEKUTANA NAIROBI KUMCHAGUA KIONGOZI MPYA WA BARAZA LA MAGAVANA

RUTO ASEMA AMETIMIZA AHADI ZA 2022

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *