#Local News

DUALE NA WETANG’ULA WAMKOSOA UHURU KUHUSU 2022

Waziri wa Afya Aden Duale na Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetang’ula wameungana na viongozi wengine wanaounga mkono serikali kumkosoa Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta kuhusu matamshi yake juu ya matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2022.

Viongozi hao wameendelea kupinga kauli za Uhuru kuhusu uchaguzi huo, huku mjadala kuhusu uhalali wa matokeo ya 2022 ukiendelea kuvuta hisia za kisiasa.

Wakati huo huo, Mwenyekiti wa ODM Gladys Wanga ameendelea kuupinga muungano wa Upinzani, akidai kuwa hauna dira ya kisiasa.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *