OCS AKANA POLISI KUWAUA WAANDAMANAJI
Polisi hawakuhusika katika mauaji ya waandamanaji wakati wa vurugu zilizotokana na mswada tata wa fedha mwaka jana.
Ndio msimamo wa aliyekuwa ocs wa kituo cha polisi cha Kamukunji Robert Mugo anayedai kuwa wale waliokuwa na kundi la maafisa waliowatuma ni wahalifu na wala hawakuwa waandamanaji.
Mugo ambaye sasa anasimamia kituo cha polisi cha Githurai amesema haya wakati wa kusikizwa kwa kesi ya mauaji ya Rex Masai.
Imetayarishwa na Maureen Amakhobe
English 




























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































