MAZISHI YA WALIO FARIKI KWENYE MAPOROMOKO YARATIBIWA KUFANYIKA 21 MWEZI HUU
Serikali imetangaza tarehe 21 mwezi huu kuwa siku ya mazishi kwa wale ambao miili yao imepatikana baada ya maporomoko katika kaunti ya Elgeyo Marakwet huku familia ambazo hajizapata miili ya wapendwa bado zikihangaika.
Hata hivyo hali ya majonzi bado inawagubika wakazi wa Chesongoch, kaunti ya Elgeyo Marakwet ambao hadi sasa hawajawapata wapendwa wao baada ya mafuriko yalishuhudiwa kwenye kaunti hiyo wiki moja iliyopita.
Imetayarishwa na Jones Koikai
English 




























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































