#Local News

GACHAGUA: WAFUASI WETU WANANYIMWA VITAMBULISHO

Huku vijana wakikosolewa kutokana na idadi ndogo ya wanaojitokeza kusajiliwa kama wapiga kura, aliyekuwa naibu Rais Rigathi Gachagua ameibua madai kwamba serikali inachelewesha maksudi utoaji wa vitambulisho vya kitaifa kwa vijana walio katika maeneo yanayodhaniwa kuwa ngome za upinzani.

Gachagua ameshikilia kuwa hatua hiyo inasambaratisha zoezi la usajili wa wapiga kura wapya, akitishia kuwaongoza vijana kuandamana dhidi ya idara ya usajili wa wananchi kushinikiza kuharakishwa kwa vitambulisho hivyo.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

GACHAGUA: WAFUASI WETU WANANYIMWA VITAMBULISHO

SIKU YA MAANDAMANO HII HAPA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *