WADAU WA ELIMU WAZITAKA SHULE KUKUMBATIA MILA NA DESTURI
Wadau wa elimu wamezitaka shule kukumbatia mila na desturi nzuri zinazosaidia kujenga maadili mema kwa wanafunzi.
Wamesema kuzingatia mila na desturi hizo kutawasaidia wanafunzi kukua wakiwa na heshima na nidhamu.
Aidha, wamewataka walimu na wazazi kushirikiana katika kuwalea watoto wenye tabia njema.
Imetayarishwa na Jesca Angeyo
English 




























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































