#Local News

SERIKALI YAFUNGUA NJIA KWA WAGENI WASIO NA NYARAKA

Serikali imeanzisha utaratibu rasmi wa kuwatambua na kuwasajili raia wa kigeni wanaoishi na kufanya kazi nchini bila nyaraka halali, ikiwa ni fursa kwao kurekebisha hadhi yao ya kisheria.

Hatua hiyo inajiri wakati wasiwasi ukiongezeka miongoni mwa raia wa kigeni kufuatia agizo la Rais William Ruto kuhusu ushiriki wa wageni katika biashara ndogo ndogo nchini.

Msemaji wa Serikali Charles Owino amesema raia wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wasio na nyaraka, hasa raia wa Burundi, wanapaswa kujitokeza katika balozi au tume zao nchini kwa ajili ya kusajiliwa na kutambuliwa rasmi.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

SERIKALI YAFUNGUA NJIA KWA WAGENI WASIO NA NYARAKA

KESI YA REX MASAI YAINGIA HATUA YA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *