#Rugby #Sports

 SHUJAA NA MORANS KUONGOZA SAFARI SEVENS OKTOBA

Mabingwa watetezi wa Safari Sevens Kenya Shujaa na Kenya Morans wataongoza orodha ya timu zitakazoshiriki mashindano ya Safari Sevens yatakayofanyika Oktoba 9 hadi 11 katika Uwanja wa Nyayo.

Mashindano hayo ya siku tatu yatashirikisha timu 12 za wanaume na sita za wanawake, zikiwemo timu za taifa pamoja na klabu kutoka Afrika na mataifa mengine, huku Uganda na Zimbabwe zikitarajiwa kurejea Nairobi.

Timu kutoka Ufaransa, Marekani, Scotland na Uingereza pia zitashiriki, huku Shujaa ikilenga kutetea taji lake mbele ya mashabiki wa nyumbani.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

 SHUJAA NA MORANS KUONGOZA SAFARI SEVENS OKTOBA

KINDIKI ATANGAZA MVUA ZA EL NINO KUWA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *