#Local News

RIGATHI AMEISHTUMU SERIKALI KWA KUILENGA JAMII YA WASAMBURU

Kinara wa chama cha DCP, Rigathi Gachagua, ameishutumu serikali kwa kile alichodai kuwa ni kuilenga jamii ya Wasamburu, kufuatia taarifa za mamia ya mifugo ya jamii hiyo kupigwa risasi huko Samburu wiki iliyopita.

Gachagua amesema mifugo hiyo ilipigwa risasi wakati wa operesheni ya polisi ya kudumisha usalama katika eneo hilo.

Amemtaka serikali kutoa maelezo kuhusu tukio hilo na kuhakikisha uchunguzi unafanywa ili kubaini kilichotokea.

Imetayarishwa na Jesca Angeyo

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *