#uncategorized

KAUNTI YA NYERI NI MIONGONI MWA KAUNTI ZINAZOTARAJIWA KUKUMBWA NA MVUA ZA ELNINO

Kaunti ya Nyeri ni miongoni mwa kaunti zinazotarajiwa kukumbwa na mvua kubwa kuanzia Oktoba 26, kufuatia hali ya El Niño.

Katika taarifa ya Oktoba 24, Idara ya Hali ya Hewa nchini imetaja kaunti 45 zinazotarajiwa kupokea mvua ya hadi milimita 20 kwa siku kuanzia Jumatatu hadi mwisho wa mwezi huu.

Wakazi wa kaunti hizo wametakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya mvua hizo, ambazo katika baadhi ya maeneo zitaambatana na upepo mkali na joto la juu.

Imetayarishwa na Jesca Angeyo

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *