#Business #Local News

‘TULIPE USHURU TUJITEGEMEE’ ASEMA RUTO

Rais William ruto amesisitiza kwamba ulipaji wa kodi ndio njia pekee ya kenya kujiimarisha kiuchumi bila kutegemea mikopo kutoka mataifa yaliyostawi.


Akiwahutubia wakenya wanaoishi marekani katika jimbo la Atlanta , Ruto amewataka wakenya kushirikiana na serikali kuimarisha uchumi kupitia ulipaji wa ushuru.


Kadhalika rais amewahakikishia wakenya kwamba hawatalazimika kulipa kodi tena nchini Kenya baada ya kulipa kodi katika taifa ambalo wanaishi.

Imetayarishwa na: Janice Marete

HAKUNA KUPUNGUZA FEDHA ZA MAJANGA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *