#Local News

MIANO ATEULIWA KUWA MWANASHERIA MKUU

Rais William Ruto amemteua Rebecca Miano kama mwanasheria mkuu na kuchukua mahala pake Justin Muturi aliyetimuliwa wiki jana baada ya kuvunjwa kwa baraza lake la mawaziri.

Katika hotuba kwa taifa alasiri hii, Ruto ametangaza kwamba atawasilisha jina la Miano kwa bunge la kitaifa kwa mchujo, na iwapo ataidhinishwa, Miano atakuwa mwanamke wa Kwanza katika hostoria ya Kenya kuwa mwanasheria mkuu.

Kabla ya kutimuliwa wiki jana, Miano alikuwa Waziri wa uwekezaji na biashara, baada ya kuhamishwa kutoka wizara ya masuala ya jumuiya ya afrika mashariki Oktoba mwaka jana.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

MIANO ATEULIWA KUWA MWANASHERIA MKUU

RAIS RUTO ATEUA WAZIRI 11

MIANO ATEULIWA KUWA MWANASHERIA MKUU

CITY THUNDER WANYAKUA USHINDI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *