MTU MMOJA AFARIKI KATIKA AJALI YA BARABARA YA MERU-NAIROBI
Mtu mmoja ameaga dunia eneo la Kajiunduthi kaunti ya Tharaka Nithi kufuatia ajaliiliyotokea katika barabara kuu ya Meru-Nairobi.
Ajali hiyo imehusisha malori m awili na gari moja la kibinafsi huku walioshuihudia ajali hiyo wakisema kuwa gari hilo na kibinafsi na lori moja zilikuwa zikielekea upande mmoja wakati ajali hiyo imetokea.
Majeruhi wamekimbizwa katika hosipitali moja eneo hilo.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 







































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































