CARRICK APINGA UVUMI WA KUFUTWA MANCHESTER UNITED
Kocha wa Manchester United Michael Carrick amepuuzilia mbali madai kuwa amebakiza mechi mbili pekee kabla ya kufutwa kazi, huku akijiandaa kuiongoza timu hiyo dhidi ya Roma katika Ligi ya Mabingwa Ulaya Jumanne. Mustakabali wake umeendelea kuingiwa na mashaka baada ya United kupoteza mabao mawili bila kujibu dhidi ya Chelsea Jumamosi, matokeo yaliyoendeleza mwenendo wao mbaya […]
English 






























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































